Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Mfalme Yehoyakini wa Yuda akatoka nje kwenda kukutana na mfalme wa Babiloni,+ akiwa pamoja na mama yake, watumishi wake, wakuu wake, na maofisa wa makao yake;+ na mfalme wa Babiloni akamchukua mateka katika mwaka wa nane wa utawala wake.+

  • Yeremia 22:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 “‘Kwa hakika kama ninavyoishi,’ asema Yehova, ‘hata kama Konia*+ mwana wa Yehoyakimu,+ mfalme wa Yuda, angekuwa pete ya muhuri kwenye mkono wangu wa kuume, ningekung’oa kutoka hapo!

  • Yeremia 22:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Nami nitakutupa wewe pamoja na mama yako aliyekuzaa katika nchi nyingine ambako hamkuzaliwa, nanyi mtakufa huko.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki