-
Kumbukumbu la Torati 28:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+
-
-
Yeremia 9:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Kwa maana kifo kimeingia kupitia madirisha yetu;
Kimeingia ndani ya minara yetu yenye ngome
Ili kuwaondoa watoto barabarani
Na vijana kwenye viwanja vya jiji.’+
-