-
Yeremia 50:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Kwa maana sasa ninaamsha na kuleta dhidi ya Babiloni
Kusanyiko la mataifa makubwa kutoka katika nchi ya kaskazini.+
Watamshambulia wakiwa wamejipanga kivita;
Kutoka hapo atatekwa.
-