-
Yoshua 15:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Huo ndio uliokuwa urithi wa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zao.
-
-
Yoshua 15:60Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
60 Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ na Raba—majiji mawili na vijiji vyake.
-
-
Yoshua 18:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.
-