Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 36:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Mikaya mwana wa Gemaria mwana wa Shafani alipoyasikia maneno yote ya Yehova kutoka katika kile kitabu cha kukunjwa, 12 akashuka kwenda kwenye nyumba ya* mfalme, katika chumba cha mwandishi. Wakuu wote* walikuwa wameketi humo: mwandishi Elishama,+ Delaya mwana wa Shemaya, Elnathani+ mwana wa Akbori,+ Gemaria mwana wa Shafani, Sedekia mwana wa Hanania, na wakuu wengine wote.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki