-
Yeremia 27:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Uwape amri hii kwa ajili ya mabwana wao:
“‘“Yehova wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema; waambieni hivi mabwana wenu:
-
-
Yeremia 27:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 “‘“‘Ikiwa taifa lolote au ufalme utakataa kumtumikia Mfalme Nebukadneza wa Babiloni na kukataa kuweka shingo yake chini ya nira ya mfalme wa Babiloni, nitaliadhibu taifa hilo kwa upanga,+ kwa njaa kali, na kwa ugonjwa hatari,’ asema Yehova, ‘mpaka nitakapowaangamiza kwa mkono wake.’
-