Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 13:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Lakini nabii huyo au mwotaji huyo wa ndoto anapaswa kuuawa,+ kwa sababu aliwachochea mmwasi Yehova Mungu wenu—aliyewatoa nchini Misri na kuwakomboa kutoka katika nyumba ya utumwa—ili mtoke katika njia ambayo Yehova Mungu wenu amewaamuru mtembee. Nanyi lazima mwondoe kilicho kiovu kutoka miongoni mwenu.+

  • Kumbukumbu la Torati 18:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 “‘Ikiwa nabii yeyote atasema kwa kimbelembele katika jina langu neno ambalo sikumwamuru aseme au kusema katika jina la miungu mingine, nabii huyo lazima afe.+

  • Yeremia 29:32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 kwa hiyo Yehova anasema hivi: ‘Ninamkazia fikira Shemaya wa Nehelamu na wazao wake. Hakuna yeyote miongoni mwa watu wake atakayeokoka kati ya watu hawa, naye hataona mema nitakayowatendea watu wangu,’ asema Yehova, ‘kwa maana amewachochea watu wamwasi Yehova.’”’”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki