-
Maombolezo 1:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Ninalia kwa sababu ya mambo haya;+ macho yangu yanatiririka machozi.
Kwa maana yeyote ambaye angenifariji au kuniburudisha yuko mbali sana nami.
Wanangu wamebaki ukiwa, kwa maana adui ameshinda.
-