-
Yeremia 4:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Sasa kwa kuwa umeangamizwa, utafanya nini?
Ulikuwa ukivaa nguo nyekundu,
Ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu,
Na kupanua macho yako kwa kuyapaka rangi nyeusi.*
-
-
Ezekieli 16:37Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+
-