-
Isaya 39:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 ‘Na baadhi ya wana wako mwenyewe utakaowazaa watachukuliwa na kuwa maofisa wa makao ya mfalme katika jumba la mfalme wa Babiloni.’”+
-
-
Isaya 43:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Kwa hiyo nitawatia unajisi wakuu wa mahali patakatifu,
Nami nitamtoa Yakobo aangamizwe
Na kumfanya Israeli atukanwe.+
-