-
Isaya 43:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Kwa maana mimi ni Yehova Mungu wako,
Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako.
Nimeitoa Misri kuwa fidia kwa ajili yako,
Ethiopia na Seba badala yako.
-
-
Tito 1:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 lakini kwa wakati wake, alifanya neno lake lijulikane kupitia kazi ya kuhubiri ambayo nilikabidhiwa+ kulingana na amri ya Mwokozi wetu, Mungu;
-
-
Yuda 25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 kwa Mungu pekee aliye Mwokozi wetu kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, kuwe na utukufu, ukuu, nguvu, na mamlaka kwa umilele wote uliopita na sasa na mpaka umilele wote. Amina.
-