Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 3:17-19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Kisha akamwambia Adamu:* “Kwa sababu uliisikiliza sauti ya mke wako na kula matunda ya mti ambao nilikuamuru+ hivi kuuhusu, ‘Usile matunda yake,’ ardhi imelaaniwa kwa sababu yako.+ Kwa maumivu utakula mazao yake sikuzote za maisha yako.+ 18 Itakuzalia miiba na michongoma, nawe utakula mimea ya shambani. 19 Kwa jasho la uso wako utakula chakula* mpaka utakaporudi ardhini, kwa kuwa ulitolewa humo.+ Kwa maana wewe ni mavumbi nawe utarudi mavumbini.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki