Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 17:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Nitakufanya uwe na wazao wengi, wengi sana, nami nitakufanya uwe mataifa, na wafalme watatoka kwako.+

  • Mwanzo 26:3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Kaa kama mgeni katika nchi hii,+ nami nitaendelea kuwa pamoja nawe na kukubariki kwa sababu nitakupa wewe na uzao wako* nchi zote hizi,+ nami nitatimiza kiapo hiki nilichomwapia Abrahamu baba yako:+

  • Mwanzo 28:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Na tazama! Yehova alikuwa amesimama juu yake, naye akasema:

      “Mimi ni Yehova Mungu wa Abrahamu baba yako na Mungu wa Isaka.+ Nchi unayoilalia, nitakupa wewe na uzao wako.*+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki