Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 27:27-29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 Kwa hiyo akakaribia na kumbusu, akasikia harufu ya mavazi yake.+ Kisha akambariki na kusema:

      “Tazama, harufu ya mwanangu ni kama harufu ya shamba ambalo Yehova amebariki. 28 Mungu wa kweli na akupe umande wa mbingu+ na udongo wenye rutuba duniani,+ na wingi wa nafaka na divai mpya.+ 29 Mataifa na yakutumikie, mataifa na yainame chini mbele yako. Uwe bwana juu ya ndugu zako, na wana wa mama yako na wainame chini mbele yako.+ Alaaniwe kila mtu anayekulaani, na abarikiwe kila mtu anayekubariki.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki