-
1 Wafalme 22:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Sasa Sedekia mwana wa Kenaana akamkaribia Mikaya na kumpiga kwenye shavu na kumuuliza: “Roho ya Yehova iliniacha jinsi gani na kuja kuzungumza nawe?”+
-
-
Yeremia 38:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Basi wakamchukua Yeremia na kumtupa ndani ya tangi la maji la Malkiya mwana wa mfalme, lililokuwa katika Ua wa Walinzi.+ Wakamshusha Yeremia ndani kwa kamba. Basi hapakuwa na maji ndani ya tangi hilo, ila matope tu, naye Yeremia akaanza kuzama ndani ya matope.
-