-
Kumbukumbu la Torati 27:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 “‘Amelaaniwa mtu ambaye hataunga mkono maneno haya ya Sheria kwa kuyatekeleza.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)
-
-
Wagalatia 3:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Wote wanaotegemea matendo ya sheria wako chini ya laana, kwa maana imeandikwa: “Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika mambo yote yaliyoandikwa katika kitabu cha kukunjwa cha Sheria kwa kuyatenda.”+
-