Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 39:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 39 Nilisema: “Nitailinda hatua yangu

      Ili niepuke kutenda dhambi kwa ulimi wangu.+

      Nitakilinda kinywa changu kwa lijamu+

      Maadamu mtu yeyote mwovu yuko mbele yangu.”

  • Mathayo 15:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Mtu hachafuliwi na kile kinachoingia kinywani mwake, bali huchafuliwa na kile kinachotoka kinywani mwake.”+

  • Mathayo 15:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Hata hivyo, mambo yanayotoka kinywani hutoka moyoni, nayo ndiyo yanayomchafua mtu.+

  • Marko 7:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Mambo hayo yote maovu hutoka ndani, nayo humchafua mtu.”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki