-
1 Timotheo 5:1, 2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Usimkosoe kwa ukali mwanamume mzee.+ Badala yake, msihi kama baba, wanaume vijana kama ndugu, 2 wanawake wazee kama mama, na wanawake vijana kama dada, kwa usafi wote wa kiadili.
-