-
Marko 1:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Yesu aliposonga mbele kidogo akawaona Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, kwenye mashua wakitengeneza nyavu zao,+
-
-
Yohana 21:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Petro alipogeuka, akamwona mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda+ akiwafuata, yule ambaye kwenye mlo wa jioni alikuwa ameegemea nyuma kifuani pa Yesu, akamuuliza: “Bwana, ni nani anayekusaliti?”
-