-
Ufunuo 4:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Kuzunguka kile kiti cha ufalme kulikuwa na viti vya ufalme 24, na kwenye viti hivyo vya ufalme niliona wameketi wazee 24+ waliovaa mavazi meupe, na juu ya vichwa vyao mataji ya dhahabu.
-