12 Nikageuka ili nimwone yule aliyekuwa akizungumza nami, nilipogeuka, nikaona vinara saba vya taa vya dhahabu,+ 13 na katikati ya vinara hivyo vya taa palikuwa na mtu kama mwana wa binadamu,+ aliyevaa vazi lililofika chini miguuni na kifuani alikuwa amevaa mshipi wa dhahabu.