Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 25
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Ayubu—Yaliyomo

      • Bildadi azungumza kwa mara ya tatu (1-6)

        • ‘Mwanadamu anawezaje kuwa bila hatia mbele za Mungu?’ (4)

        • Adai kwamba utimilifu wa mwanadamu ni wa bure (5, 6)

Ayubu 25:1

Marejeo

  • +Ayu 2:11; 8:1

Ayubu 25:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “katika vilele vyake.”

Ayubu 25:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “safi.”

Marejeo

  • +Ayu 4:17, 18; 22:3
  • +Ayu 15:14, 15

Jumla

Ayu. 25:1Ayu 2:11; 8:1
Ayu. 25:4Ayu 4:17, 18; 22:3
Ayu. 25:4Ayu 15:14, 15
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Ayubu 25:1-6

Ayubu

25 Bildadi+ Mshua akajibu:

 2 “Utawala na uwezo wenye kutisha ni wake;

Yeye huimarisha amani mbinguni.*

 3 Je, majeshi yake yanaweza kuhesabiwa?

Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake?

 4 Basi mwanadamu anayeweza kufa anawezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu,+

Au mtu aliyezaliwa na mwanamke anawezaje kuwa bila hatia?*+

 5 Hata mwezi si mwangavu

Na nyota si safi machoni pake,

 6 Sembuse mwanadamu anayeweza kufa ambaye ni buu,

Na binadamu ambaye ni mnyoo!”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki