Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 133
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Zaburi—Yaliyomo

      • Kukaa pamoja kwa umoja

        • Kama mafuta kwenye kichwa cha Haruni (2)

        • Kama umande wa Hermoni (3)

Zaburi 133:1

Marejeo

  • +Mwa 13:8; Yoh 13:35; Kol 3:14; Ebr 13:1

Zaburi 133:2

Marejeo

  • +Met 27:9
  • +Kut 29:4, 7

Zaburi 133:3

Marejeo

  • +Kum 3:8, 9; 1Nya 5:23
  • +Zb 125:2

Jumla

Zab. 133:1Mwa 13:8; Yoh 13:35; Kol 3:14; Ebr 13:1
Zab. 133:2Met 27:9
Zab. 133:2Kut 29:4, 7
Zab. 133:3Kum 3:8, 9; 1Nya 5:23
Zab. 133:3Zb 125:2
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Zaburi 133:1-3

Zaburi

Wimbo wa Safari za Kupanda. Wa Daudi.

133 Tazama! Jinsi ilivyo vema na jinsi inavyopendeza

Ndugu kukaa pamoja kwa umoja!+

 2 Ni kama mafuta bora yanayomiminwa kichwani+

Yanayotiririka kwenye ndevu,

Ndevu za Haruni,+

Na kutiririka mpaka kwenye ukosi wa mavazi yake.

 3 Ni kama umande wa Hermoni+

Unaoshuka kwenye milima ya Sayuni.+

Huko ndiko Yehova alikoamuru baraka yake

—Uzima wa milele.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki