Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 128
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Zaburi—Yaliyomo

      • Furaha kwa sababu ya kumwogopa Yehova

        • Mke kama mzabibu unaozaa matunda mengi (3)

        • “Na uone Yerusalemu likipata ufanisi” (5)

Zaburi 128:1

Marejeo

  • +Zb 112:1; Ebr 5:7
  • +Zb 119:1; Mik 6:8

Zaburi 128:2

Marejeo

  • +Mhu 5:18; Isa 65:22

Zaburi 128:3

Marejeo

  • +Kut 23:26; Zb 127:3

Zaburi 128:4

Marejeo

  • +Zb 127:4, 5

Zaburi 128:5

Marejeo

  • +Zb 122:6; Isa 33:20

Jumla

Zab. 128:1Zb 112:1; Ebr 5:7
Zab. 128:1Zb 119:1; Mik 6:8
Zab. 128:2Mhu 5:18; Isa 65:22
Zab. 128:3Kut 23:26; Zb 127:3
Zab. 128:4Zb 127:4, 5
Zab. 128:5Zb 122:6; Isa 33:20
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Zaburi 128:1-6

Zaburi

Wimbo wa Safari za Kupanda.

128 Mwenye furaha ni kila mtu anayemwogopa Yehova,+

Anayetembea katika njia Zake.+

 2 Utakula mazao ambayo mkono wako ulifanya kazi ngumu kuyapata.

Utakuwa na furaha na kufurahia ufanisi.+

 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu unaozaa matunda mengi nyumbani mwako;+

Watoto wako watakuwa kama machipukizi ya mzeituni kuzunguka meza yako.

 4 Tazama! Hivyo ndivyo mwanamume anayemwogopa Yehova

Atakavyobarikiwa.+

 5 Yehova atakubariki kutoka Sayuni.

Na uone Yerusalemu likipata ufanisi sikuzote za maisha yako+

 6 Na uone watoto wa watoto wako.

Na amani iwe juu ya Israeli.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki