Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 7
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Methali—Yaliyomo

      • Zishike amri za Mungu uishi (1-5)

      • Kijana mjinga atongozwa (6-27)

        • “Kama ng’ombe dume anayeenda machinjioni” (22)

Methali 7:1

Marejeo

  • +Met 10:14

Methali 7:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “sheria.”

Marejeo

  • +Law 18:5; Kum 5:16; Isa 55:3; Yoh 12:50

Methali 7:3

Marejeo

  • +Met 2:10, 11

Methali 7:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mgeni.” Angalia Met 2:16.

  • *

    Tnn., “mgeni.” Angalia Met 2:16.

  • *

    Au “yenye ushawishi.”

Marejeo

  • +Met 23:27, 28
  • +Met 2:11, 16; 5:3; 6:23, 24

Methali 7:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wasio na uzoefu.”

  • *

    Tnn., “aliyepungukiwa moyoni.”

Marejeo

  • +Met 6:32; 9:16, 17

Methali 7:9

Marejeo

  • +Ayu 24:15

Methali 7:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Akiwa na mavazi ya.”

Marejeo

  • +Yer 4:30

Methali 7:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Miguu yake haikai.”

Marejeo

  • +Met 9:13-18

Methali 7:12

Marejeo

  • +Met 23:27, 28

Methali 7:14

Marejeo

  • +Law 19:5

Methali 7:16

Marejeo

  • +Eze 27:7

Methali 7:17

Marejeo

  • +Wim 3:6; 4:14

Methali 7:21

Marejeo

  • +Met 5:3

Methali 7:22

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “pingu.”

Marejeo

  • +1Ko 6:18

Methali 7:23

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “nafsi yake.”

Marejeo

  • +Met 5:8-11

Methali 7:25

Marejeo

  • +Met 5:8

Methali 7:26

Marejeo

  • +Mhu 7:26
  • +1Ko 10:8

Methali 7:27

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Sheoli.” Angalia Kamusi.

Jumla

Met. 7:1Met 10:14
Met. 7:2Law 18:5; Kum 5:16; Isa 55:3; Yoh 12:50
Met. 7:3Met 2:10, 11
Met. 7:5Met 23:27, 28
Met. 7:5Met 2:11, 16; 5:3; 6:23, 24
Met. 7:7Met 6:32; 9:16, 17
Met. 7:9Ayu 24:15
Met. 7:10Yer 4:30
Met. 7:11Met 9:13-18
Met. 7:12Met 23:27, 28
Met. 7:14Law 19:5
Met. 7:16Eze 27:7
Met. 7:17Wim 3:6; 4:14
Met. 7:21Met 5:3
Met. 7:221Ko 6:18
Met. 7:23Met 5:8-11
Met. 7:25Met 5:8
Met. 7:26Mhu 7:26
Met. 7:261Ko 10:8
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Methali 7:1-27

Methali

7 Mwanangu, shika maneno yangu,

Na uzihifadhi amri zangu kama hazina.+

 2 Shika amri zangu uishi;+

Linda mafundisho* yangu kama mboni ya jicho lako.

 3 Zifunge juu ya vidole vyako;

Ziandike kwenye kibao cha moyo wako.+

 4 Iambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”

Na uuite uelewaji “mtu wangu wa ukoo,”

 5 Ili vikulinde dhidi ya mwanamke aliyepotoka,*+

Dhidi ya mwanamke mwasherati* na maneno yake laini.*+

 6 Kutoka kwenye dirisha la nyumba yangu,

Nilitazama chini kupitia viunzi vya dirisha langu,

 7 Na nilipokuwa nikiwachunguza wajinga,*

Nilitambua miongoni mwa vijana, kijana fulani mwanamume asiye na busara.*+

 8 Alipita barabarani karibu na njia panda anapoishi mwanamke huyo,

Naye akashika njia inayoelekea nyumbani kwa mwanamke huyo

 9 Jioni wakati wa gizagiza,+

Usiku na giza linapoingia.

10 Kisha nikamwona mwanamke akija kukutana naye,

Akiwa amevaa kama* kahaba,+ mwenye moyo mjanja.

11 Mwanamke mwenye kelele na mkaidi.+

Hakai* kamwe nyumbani mwake.

12 Mara yuko nje, mara yuko katika viwanja vya jiji,

Ananyemelea karibu na kila njia panda.+

13 Kisha anamkamata kwa nguvu kijana huyo na kumpiga busu;

Bila aibu, mwanamke huyo anamwambia:

14 “Nililazimika kutoa dhabihu za ushirika.+

Leo nilitimiza nadhiri zangu.

15 Ndiyo sababu nimekuja kukupokea,

Kukutafuta, nami nimekupata!

16 Nimetandika matandiko bora kitandani mwangu,

Kitani cha Misri chenye rangi mbalimbali.+

17 Nimenyunyiza manemane, udi, na mdalasini kitandani mwangu.+

18 Njoo, tunywe na kushiba upendo mpaka asubuhi;

Na tujifurahishe kwa mahaba,

19 Kwa maana mume wangu hayuko nyumbani;

Amesafiri mbali.

20 Alibeba mfuko wa pesa,

Naye hatarudi mpaka siku ya mwezi mpevu.”

21 Anampotosha kwa ushawishi mkubwa.+

Anamtongoza kwa maneno laini.

22 Ghafla kijana huyo anamfuata, kama ng’ombe dume anayeenda machinjioni,

Kama mjinga anayeenda kuadhibiwa katika mikatale,*+

23 Mpaka mshale unapochoma ini lake;

Kama ndege anayekimbia kuingia mtegoni, hajui kwamba hilo litamgharimu uhai wake.*+

24 Na sasa, wanangu, nisikilizeni;

Sikilizeni kwa makini maneno ninayosema.

25 Msiruhusu moyo wenu ugeuke na kufuata njia zake.

Msipotee njia na kufuata vijia vyake,+

26 Kwa maana amewaangamiza wengi,+

Na wale aliowaua ni wengi sana.+

27 Nyumba yake huongoza Kaburini;*

Hushuka chini kwenye vyumba vya ndani vya kifo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki