Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 16
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Marko—Yaliyomo

      • Yesu afufuliwa (1-8)

Marko 16:1

Marejeo

  • +Kut 20:8, 9
  • +Mt 28:1
  • +Lu 23:55, 56

Marko 16:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kwenye kaburi la ukumbusho.”

Marejeo

  • +Lu 24:1; Yoh 20:1

Marko 16:4

Marejeo

  • +Lu 24:2, 3

Marko 16:6

Marejeo

  • +Lu 24:4
  • +Mk 8:31; Lu 18:33; Mdo 4:10
  • +Mt 28:5, 6

Marko 16:7

Marejeo

  • +Mt 26:32; Mk 14:28
  • +Mt 28:7

Marko 16:8

Maelezo ya Chini

  • *

    Kulingana na hati za kale zinazotegemeka, Injili ya Marko inafikia mwisho kwa maneno yaliyo kwenye mstari wa 8. Angalia Nyongeza A3..

Marejeo

  • +Mt 28:8; Lu 24:9

Jumla

Marko 16:1Kut 20:8, 9
Marko 16:1Mt 28:1
Marko 16:1Lu 23:55, 56
Marko 16:2Lu 24:1; Yoh 20:1
Marko 16:4Lu 24:2, 3
Marko 16:6Lu 24:4
Marko 16:6Mk 8:31; Lu 18:33; Mdo 4:10
Marko 16:6Mt 28:5, 6
Marko 16:7Mt 26:32; Mk 14:28
Marko 16:7Mt 28:7
Marko 16:8Mt 28:8; Lu 24:9
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Marko 16:1-8

Kulingana na Marko

16 Baada ya Sabato+ kupita, Maria Magdalene, Maria+ mama ya Yakobo, na Salome wakanunua manukato ili wakaupake mwili wa Yesu.+ 2 Asubuhi na mapema siku ya kwanza ya juma, jua lilipokuwa limechomoza, wakaenda kwenye kaburi.*+ 3 Walikuwa wakiulizana: “Ni nani atakayetuviringishia lile jiwe kutoka kwenye mwingilio wa kaburi?” 4 Lakini walipotazama, wakaona lile jiwe lilikuwa limeondolewa, ingawa lilikuwa kubwa sana.+ 5 Walipoingia ndani ya kaburi, wakaona mwanamume kijana akiwa ameketi upande wa kulia akiwa amevaa kanzu nyeupe, nao wakashtuka. 6 Akawaambia: “Msishtuke.+ Mnamtafuta Yesu Mnazareti, aliyeuawa kwenye mti. Amefufuliwa.+ Hayupo hapa. Tazama, hapa ndipo walipomlaza.+ 7 Lakini nendeni mkawaambie wanafunzi wake na Petro, ‘Yesu anawatangulia kwenda Galilaya.+ Mtamwona huko, kama vile alivyowaambia.’”+ 8 Basi walipotoka kaburini, wakakimbia wakitetemeka huku wakiwa wamelemewa na hisia. Nao hawakumwambia mtu yeyote jambo lolote, kwa sababu waliogopa.*+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki