Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Yoeli—Yaliyomo

YOELI

YALIYOMO

  • 1

    • Shambulizi kali la wadudu (1-14)

    • “Siku ya Yehova iko karibu” (15-20)

      • Nabii amlilia Yehova (19, 20)

  • 2

    • Siku ya Yehova na jeshi lake kubwa (1-11)

    • Wasihiwa wamrudie Yehova (12-17)

      • “Irarueni mioyo yenu” (13)

    • Yehova awajibu watu wake (18-32)

      • “Nitaimimina roho yangu” (28)

      • Maajabu mbinguni na duniani (30)

      • Wale wanaoliitia jina la Yehova wataokolewa (32)

  • 3

    • Yehova ahukumu mataifa yote (1-17)

      • Bonde la Yehoshafati (2, 12)

      • Bonde la uamuzi (14)

      • Yehova, ngome kwa Israeli (16)

    • Yehova awabariki watu wake (18-21)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki