MATHAYO
YALIYOMO
-
Yesu ndiye “Bwana wa Sabato” (1-8)
Mtu mwenye mkono uliopooza aponywa (9-14)
Mtumishi mpendwa wa Mungu (15-21)
Atumia roho takatifu kuwafukuza roho waovu (22-30)
Dhambi isiyosamehewa (31, 32)
Mti hujulikana kwa matunda yake (33-37)
Ishara ya Yona (38-42)
Roho mwovu anaporudi (43-45)
Mama na ndugu za Yesu (46-50)
-
MIFANO KUHUSU UFALME (1-52)
Mpandaji (1-9)
Kwa nini Yesu alitumia mifano? (10-17)
Mfano wa mpandaji wafafanuliwa (18-23)
Ngano na magugu (24-30)
Mbegu ya haradali na chachu (31-33)
Yesu atumia mifano, atimiza unabii (34, 35)
Mfano wa ngano na magugu wafafanuliwa (36-43)
Hazina iliyofichwa na lulu nzuri (44-46)
Wavu wa kukokota (47-50)
Hazina mpya na za zamani (51, 52)
Yesu akataliwa katika eneo la nyumbani kwao (53-58)
-
Makuhani wapanga njama ya kumuua Yesu (1-5)
Yesu amiminiwa mafuta yenye manukato (6-13)
Pasaka ya mwisho na kusalitiwa (14-25)
Mlo wa Jioni wa Bwana waanzishwa (26-30)
Yesu atabiri kwamba Petro atamkana (31-35)
Yesu asali huko Gethsemane (36-46)
Yesu akamatwa (47-56)
Kesi mbele ya Sanhedrini (57-68)
Petro amkana Yesu (69-75)