YONA YALIYOMO 1 Yona ajaribu kumkimbia Yehova (1-3) Yehova aleta dhoruba kali (4-6) Yona ndiye chanzo cha taabu (7-13) Yona atupwa ndani ya bahari iliyochafuka (14-16) Samaki mkubwa ammeza Yona (17) 2 Yona asali akiwa ndani ya tumbo la samaki (1-9) Yona atapikwa kwenye nchi kavu (10) 3 Yona amtii Mungu na kwenda Ninawi (1-4) Waninawi watubu baada ya kusikia ujumbe wa Yona (5-9) Mungu aamua kutoangamiza Ninawi (10) 4 Yona akasirika, atamani kufa (1-3) Yehova amfundisha Yona kuhusu rehema (4-11) “Je, una sababu nzuri ya kuwaka hasira?” (4) Somo la mmung’unye (6-10)