Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb seh. 2
  • Utangulizi wa Sehemu ya 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 2
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Gharika Kubwa​—Nani Alimsikiliza Mungu? Nani Hakumsikiliza?
    Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Hasira Yasababisha Mauaji
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb seh. 2
Noa akiingiza wanyama kwenye safina

Utangulizi wa Sehemu ya 2

Kwa nini Yehova alileta gharika na kuharibu ulimwengu wa wakati huo? Mwanzoni mwa historia ya wanadamu, kulitokea ushindani kati ya wema na uovu. Baadhi ya watu, kama vile Adamu, Hawa, na mtoto wao Kaini, walichagua kufanya mambo mabaya. Watu wachache kama vile Abeli na Noa, walichagua kufanya mema. Watu wengi walikuwa wabaya sana hivi kwamba Yehova aliamua kuleta mwisho wa ulimwengu huo mwovu. Sehemu hii itatusaidia kujifunza jinsi Yehova anavyohisi kuhusu maamuzi tunayofanya na kwamba hataruhusu kamwe uovu ushinde wema.

MAMBO MAKUU

  • Tunapaswa kuwa wenye kufanya amani, tusiwe wenye jeuri kama Ibilisi na wafuasi wake

  • Tukimsikiliza Mungu na kumtii kama Noa alivyofanya, tutaishi milele tukiwa na furaha

  • Yehova huona mambo yote yanayotendeka. Mambo mazuri hufurahisha moyo wake lakini mabaya yanamhuzunisha

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki