Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj 113
  • Amani Tuliyo Nayo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Amani Tuliyo Nayo
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj 113

WIMBO NA. 113

Amani Tuliyo Nayo

(Yohana 14:27)

  1. 1. Tumsifu Yehova,

    Mwenye amani,

    Atakomesha vita,

    Kuwe amani.

    Mkuu wa amani,

    Ni Kristo Yesu.

    Kutakuwa amani,

    Atawalapo.

  2. 2. Tumeacha ghadhabu,

    Na chuki pia.

    Mapanga na mikuki,

    Tumebadili.

    Ili kuwe amani,

    Tutasamehe,

    Na kuishi pamoja,

    Kama “kondoo.”

  3. 3. Amani ya Yehova,

    Baraka kwetu.

    Tutii maagizo,

    Toka moyoni.

    Wengine na waone,

    Tuna amani.

    Hadi Ufalme uje,

    Kuwe amani.

(Ona pia Zab. 46:9; Isa. 2:4; Yak. 3:​17, 18.)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki