Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm23
  • Jumamosi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumamosi
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
  • Habari Zinazolingana
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2023
CO-pgm23
Picha: Mambo makuu ya programu ya Jumamosi. 1. Washiriki wa familia wakiwasiliana kwa shangwe kupitia video. 2. Mfalme akitafakari. 3. Baba na mtoto wake wakiwa sokoni.

Jumamosi

“Iweni na subira kwa watu wote”​—1 Wathesalonike 5:14

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 58 na Sala

  • 3:40 MFULULIZO: “Tunajipendekeza Kuwa Wahudumu wa Mungu . . . kwa Subira”

    • • Tunapohubiri (Matendo 26:29; 2 Wakorintho 6:4, 6)

    • • Tunapowafundisha Wanafunzi wa Biblia (Yohana 16:12)

    • • Tunapotiana Moyo (1 Wathesalonike 5:11)

    • • Tunapotumikia Tukiwa Wazee (2 Timotheo 4:2)

  • 4:30 Ninyi Ambao Mmeonyeshwa Subira, Onyesheni Subira! (Mathayo 7:1, 2; 18:23-35)

  • 4:50 Wimbo Na. 138 na Matangazo

  • 5:00 MFULULIZO: ‘Kwa Subira Vumilianeni kwa Upendo’

    • • Watu wa Ukoo Wasio Waamini (Wakolosai 4:6)

    • • Mwenzi Wako wa Ndoa (Methali 19:11)

    • • Watoto Wako (2 Timotheo 3:14)

    • • Watu wa Familia Wenye Matatizo ya Afya au Wazeewazee (Waebrania 13:16)

  • 5:45 UBATIZO: Subira ya Yehova Ni Wokovu Wetu! (2 Petro 3:13-15)

  • 6:15 Wimbo Na. 75 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 106

  • 7:50 Kwa Nini Ujihadhari na Mwelekeo wa Kutosheleza Tamaa Papo Hapo? (1 Wathesalonike 4:3-5; 1 Yohana 2:17)

  • 8:15 MFULULIZO: “Ni Bora Kuwa na Subira Kuliko Kuwa na Roho ya Kiburi”

    • • Mwige Abeli, Si Adamu (Mhubiri 7:8)

    • • Mwige Yakobo, Si Esau (Waebrania 12:16)

    • • Mwige Musa, Si Kora (Hesabu 16:9, 10)

    • • Mwige Samweli, Si Sauli (1 Samweli 15:22)

    • • Mwige Yonathani, Si Absalomu (1 Samweli 23:16-18)

  • 9:15 Wimbo Na. 87 na Matangazo

  • 9:25 DRAMA: “Mkabidhi Yehova Njia Yako”—Sehemu ya 1 (Zaburi 37:5)

  • 9:55 “Tunapoteswa, Tunavumilia kwa Subira” (1 Wakorintho 4:12; Waroma 12:14, 21)

  • 10:30 Wimbo Na. 79 na Sala ya Mwisho

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki