Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ndugu na dada wengi wana kumbukumbu nzuri za wakati waliotumia kufurahia uumbaji pamoja na wazazi wao Wakristo. Hawajasahau jinsi wazazi wao walivyotumia pindi hizo kuwafundisha kuhusu utu wa Yehova. Ikiwa una watoto, unawezaje kutumia uumbaji kuwafundisha kuhusu sifa za Mungu? Makala hii itajibu swali hilo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki