Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj 130
  • Uwe Mwenye Kusamehe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Mwenye Kusamehe
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Huwabariki Wale Wanaosamehe Wengine
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Msamaha wa Yehova​—⁠Unawezaje Kuuiga?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Yehova—Mfano Bora wa Kusamehe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj 130

WIMBO NA. 130

Uwe Mwenye Kusamehe

(Zaburi 86:5)

  1. 1. Kwa upendo Mungu,

    Kapanga Mwana afe.

    Dhambi ziweze kufutwa,

    Kifo kiondolewe.

    Tukitubu kweli kweli,

    Tunaweza kumwomba,

    Kwa msingi wa fidia,

    Aliyotoa Kristo.

  2. 2. Twapata rehema,

    Tukimwiga Yehova.

    Tukisamehe wengine,

    Kwa upendo, huruma.

    Tukiepuka kinyongo,

    Tukivumiliana;

    Tukiwaheshimu ndugu,

    Tukiwa na upendo.

  3. 3. Sote tunapaswa,

    Kuonyesha rehema.

    Itaondoa kinyongo,

    Na uchungu wa chuki.

    Tukitenda kama Mungu,

    Apendaye zaidi,

    Tutasamehe kikweli;

    Na kumwiga Yehova.

(Ona pia Mt. 6:12; Efe. 4:32; Kol. 3:13.)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki