Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj 17
  • “Nataka”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Nataka”
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Mungu​—⁠Kielelezo cha Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj 17

WIMBO NA. 17

“Nataka”

(Luka 5:13)

  1. 1. Upendo wa Kristo Yesu,

    Ulimchochea kuja.

    Katujali sana,

    toka moyoni,

    Kwa maneno na matendo.

    Wagonjwa aliwaponya,

    Viziwi, vipofu pia.

    Kazi yake aliitimiza.

    Na alisema: ‘Nataka.’

  2. 2. Tumwige Mwana wa Mungu,

    Kila siku maishani.

    Tuonyeshe watu

    tunawapenda,

    Neno Lake wajifunze.

    Fadhili tuwaonyeshe,

    Kwa maneno na matendo.

    Wajane nao yatima pia,

    Tuwaambie: ‘Nataka.’

(Ona pia Yoh. 18:37; Efe. 3:19; Flp. 2:7.)

    Tanzanian sign language publications(2020-2025)
    Toka
    Ingia
    • Lugha ya Alama ya Tanzania
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki