EZEKIELI YALIYOMO 1 Ezekieli aona maono ya Mungu akiwa Babiloni (1-3) Maono ya gari la kimbingu la Yehova (4-28) Dhoruba, wingu, na moto (4) Viumbe hai wanne (5-14) Magurudumu manne (15-21) Anga linalometameta kama barafu (22-24) Kiti cha ufalme cha Yehova (25-28) 2 Ezekieli apewa kazi ya kuwa nabii (1-10) ‘Iwe watasikiliza au hawatasikiliza’ (5) Aonyeshwa kitabu cha kukunjwa chenye nyimbo za huzuni (9, 10) 3 Ezekieli aambiwa ale kitabu cha kukunjwa alichopewa na Mungu (1-15) Ezekieli atakuwa mlinzi (16-27) Kupuuza kunasababisha hatia ya damu (18-21) 4 Aonyesha jinsi Yerusalemu litakavyozingirwa (1-17) Abeba hatia kwa siku 390 na siku 40 (4-7) 5 Aonyesha jinsi Yerusalemu litakavyoanguka (1-17) Nywele za nabii zilizonyolewa zagawanywa katika mafungu matatu (1-4) Yerusalemu lina uovu kuliko mataifa (7-9) Waasi waadhibiwa kwa njia tatu (12) 6 Dhidi ya milima ya Israeli (1-14) Sanamu zinazochukiza zitafedheheshwa (4-6) “Mtalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova” (7) 7 Mwisho umefika (1-27) Msiba wa pekee (5) Pesa zatupwa barabarani (19) Hekalu litatiwa unajisi (22) 8 Ezekieli apelekwa Yerusalemu katika maono (1-4) Vitu vinavyochukiza vyaonekana hekaluni (5-18) Wanawake wakimlilia Tamuzi (14) Wanaume wakiabudu jua (16) 9 Wanaume sita wanaoangamiza na mwanamume mwenye kidau cha wino (1-11) Hukumu itaanzia patakatifu (6) 10 Moto wachukuliwa kutoka kati ya magurudumu (1-8) Ufafanuzi kuhusu makerubi na magurudumu (9-17) Utukufu wa Mungu waondoka hekaluni (18-22) 11 Wakuu waovu washutumiwa (1-13) Jiji lafananishwa na chungu cha kupikia (3-12) Ahadi ya kurudishwa (14-21) Wapewa “roho mpya” (19) Utukufu wa Yehova waondoka Yerusalemu (22, 23) Ezekieli arudi Ukaldayo katika maono (24, 25) 12 Atabiri uhamisho kwa mifano (1-20) Mizigo ya kwenda uhamishoni (1-7) Mkuu ataondoka kukiwa na giza (8-16) Mkate wa wasiwasi, maji ya hofu (17-20) Msemo wa udanganyifu wathibitika kuwa uwongo (21-28) “Hakuna neno langu lolote litakalokawia” (28) 13 Dhidi ya manabii wa uwongo (1-16) Kuta zilizopakwa chokaa zitaanguka (10-12) Dhidi ya manabii wa kike wa uwongo (17-23) 14 Wanaoabudu sanamu washutumiwa (1-11) Hukumu dhidi ya Yerusalemu haiwezi kuepukika (12-23) Noa, Danieli, na Ayubu waliokuwa waadilifu (14, 20) 15 Yerusalemu, mzabibu usiofaa (1-8) 16 Upendo wa Mungu kwa Yerusalemu (1-63) Apatikana kama mtoto aliyeachwa (1-7) Mungu ampamba na kufanya agano la ndoa pamoja naye (8-14) Akosa kuwa mwaminifu (15-34) Aadhibiwa kama mwanamke mzinzi (35-43) Alinganishwa na Samaria na Sodoma (44-58) Mungu akumbuka agano lake (59-63) 17 Kitendawili cha tai wawili na mzabibu (1-21) Chipukizi changa litakuwa mwerezi mkubwa (22-24) 18 Kila mtu anawajibika kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe (1-32) Nafsi inayotenda dhambi itakufa (4) Mwana hatalipia dhambi ya baba yake (19, 20) Sifurahishwi na kifo cha mtu mwovu (23) Toba huhifadhi uhai (27, 28) 19 Wimbo wa huzuni kwa ajili ya wakuu wa Israeli (1-14) 20 Historia ya uasi wa Waisraeli (1-32) Ahadi ya kurudishwa kwa Waisraeli (33-44) Unabii dhidi ya kusini (45-49) 21 Upanga wa hukumu wa Mungu wachomolewa (1-17) Mfalme wa Babiloni kushambulia Yerusalemu (18-24) Mkuu mwovu wa Israeli ataondolewa (25-27) “Ulivue taji” (26) “Mpaka yule aliye na haki ya kisheria atakapokuja” (27) Upanga utawashambulia Waamoni (28-32) 22 Yerusalemu, jiji lenye hatia ya damu (1-16) Waisraeli ni kama takataka isiyo na thamani (17-22) Viongozi na watu wa Israeli washutumiwa (23-31) 23 Dada wawili ambao si waaminifu (1-49) Ohola na Ashuru (5-10) Oholiba na Babiloni na Misri (11-35) Kuadhibiwa kwa dada wawili (36-49) 24 Yerusalemu kama chungu cha kupikia chenye kutu (1-14) Kifo cha mke wa Ezekieli ni ishara (15-27) 25 Unabii dhidi ya Amoni (1-7) Unabii dhidi ya Moabu (8-11) Unabii dhidi ya Edomu (12-14) Unabii dhidi ya Ufilisti (15-17) 26 Unabii dhidi ya Tiro (1-21) “Uwanja wa kukaushia nyavu za kukokotwa” (5, 14) Mawe na udongo vyatupwa ndani ya maji (12) 27 Wimbo wa huzuni kuhusu meli inayozama ya Tiro (1-36) 28 Unabii dhidi ya mfalme wa Tiro (1-10) “Mimi ni mungu” (2, 9) Wimbo wa huzuni kuhusu mfalme wa Tiro (11-19) “Ulikuwa katika Edeni” (13) “Kerubi anayefunika aliyetiwa mafuta” (14) ‘Uovu ulipatikana ndani yako’ (15) Unabii dhidi ya Sidoni (20-24) Israeli watarudishwa (25, 26) 29 Unabii dhidi ya Farao (1-16) Jiji la Babiloni litapewa Misri kama malipo (17-21) 30 Unabii dhidi ya Misri (1-19) Shambulizi la Nebukadneza latabiriwa (10) Nguvu za Farao zavunjwa (20-26) 31 Kuanguka kwa Misri, mwerezi mrefu (1-18) 32 Wimbo wa huzuni kuhusu Farao na Misri (1-16) Misri kuzikwa pamoja na wasiotahiriwa (17-32) 33 Majukumu ya mlinzi (1-20) Habari kuhusu kuanguka kwa Yerusalemu (21, 22) Ujumbe kwa wakaaji wa magofu ya Yerusalemu (23-29) Watu wapuuza ujumbe (30-33) Ezekieli “kama wimbo wa mapenzi” (32) “Nabii alikuwa miongoni mwao” (33) 34 Unabii dhidi ya wachungaji wa Israeli (1-10) Jinsi Yehova anavyowatunza kondoo wake (11-31) “Mtumishi wangu Daudi” atawachunga (23) “Agano la amani” (25) 35 Unabii dhidi ya milima ya Seiri (1-15) 36 Unabii kuhusu milima ya Israeli (1-15) Kurudishwa kwa Waisraeli (16-38) “Nitalitakasa jina langu kuu” (23) “Kama bustani ya Edeni” (35) 37 Maono ya bonde la mifupa mikavu (1-14) Vijiti viwili vitaunganishwa pamoja (15-28) Taifa moja chini ya mfalme mmoja (22) Agano la kudumu la amani (26) 38 Gogu kushambulia Israeli (1-16) Hasira ya Yehova dhidi ya Gogu (17-23) ‘Mataifa yatalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova’ (23) 39 Kuangamizwa kwa Gogu na vikosi vyake (1-10) Mazishi katika Bonde la Hamoni-Gogu (11-20) Kurudishwa kwa Waisraeli (21-29) Roho ya Mungu yamiminwa juu ya Waisraeli (29) 40 Ezekieli aletwa Israeli katika maono (1, 2) Ezekieli aona hekalu kwenye maono (3, 4) Nyua na malango (5-47) Lango la nje la mashariki (6-16) Ua wa nje; malango mengine (17-26) Ua wa ndani na malango (27-37) Vyumba vya utumishi wa hekaluni (38-46) Madhabahu (47) Ukumbi wa hekalu (48, 49) 41 Patakatifu pa hekalu (1-4) Ukuta na vyumba vya kando (5-11) Jengo la magharibi (12) Majengo yapimwa (13-15a) Sehemu ya ndani ya patakatifu (15b-26) 42 Majengo ya vyumba vya kulia chakula (1-14) Pande nne za hekalu zapimwa (15-20) 43 Utukufu wa Yehova wajaa hekaluni (1-12) Madhabahu (13-27) 44 Lango la mashariki kubaki likiwa limefungwa (1-3) Maagizo kuhusu wageni (4-9) Maagizo kwa ajili ya Walawi na makuhani (10-31) 45 Mchango mtakatifu na jiji (1-6) Sehemu ya kiongozi (7, 8) Viongozi watatenda kwa unyoofu (9-12) Michango ya watu na ya kiongozi (13-25) 46 Matoleo ya pindi mbalimbali (1-15) Kurithi mali ya kiongozi (16-18) Sehemu za kuchemshia dhabihu (19-24) 47 Kijito kinachotiririka kutoka hekaluni (1-12) Kina cha maji chaongezeka hatua kwa hatua (2-5) Maji ya Bahari ya Chumvi yaponywa (8-10) Sehemu zenye majimaji haziponywi (11) Miti kwa ajili ya chakula na kuponya (12) Mipaka ya nchi (13-23) 48 Kuigawa nchi (1-29) Malango 12 ya jiji (30-35) Jiji linaloitwa “Yehova Yupo Hapo” (35)