DANIELI
YALIYOMO
-
Mfalme Nebukadneza aota ndoto ya kufadhaisha (1-4)
Wenye hekima washindwa kueleza maana ya ndoto (5-13)
Danieli amwomba Mungu msaada (14-18)
Mungu asifiwa kwa kufunua siri (19-23)
Danieli amwambia mfalme ndoto yake (24-35)
Maana ya ndoto (36-45)
Jiwe la Ufalme laivunja sanamu (44, 45)
Danieli aheshimiwa na mfalme (46-49)