Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 16:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Watawala wa Wafilisti wakakusanyika ili kusherehekea na kumtolea dhabihu nyingi mungu wao Dagoni,+ kwa kuwa walisema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu Samsoni!”

  • 1 Samweli 5:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Walipoamka asubuhi na mapema siku iliyofuata, walimkuta Dagoni ameanguka kifudifudi mbele ya Sanduku la Yehova. Kichwa cha Dagoni na vitanga vya mikono yake miwili vilikuwa vimekatwa, navyo vilikuwa chini kwenye kizingiti. Ni sehemu tu yenye umbo la samaki ndiyo iliyobaki.*

  • 2 Wafalme 1:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Huo ndio wakati ambapo Ahazia alianguka chini kupitia kiunzi kilichokuwa katika chumba chake cha darini kule Samaria, akajeruhiwa. Kwa hiyo akawatuma wajumbe, akawaambia: “Nendeni mkamuulize Baal-zebubu mungu wa Ekroni+ ikiwa nitapona jeraha hili.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki