Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 23:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Siku ambayo tita hilo linatikiswa, ni lazima mumtolee Yehova dhabihu ya kuteketezwa ya mwanakondoo dume wa mwaka mmoja asiye na kasoro. 13 Mtatoa pia sehemu mbili za kumi za kipimo cha efa* ya unga laini uliochanganywa na mafuta kuwa toleo la nafaka linalochomwa kwa moto, lenye harufu inayompendeza* Yehova. Pia mtatoa robo ya hini* ya divai kuwa toleo la kinywaji.

  • Hesabu 15:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Pia mnapaswa kutoa robo ya kipimo cha hini ya divai ili iwe toleo la kinywaji; mtaitoa pamoja na dhabihu ya kuteketezwa+ au pamoja na dhabihu ya kila mwanakondoo dume.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki