Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 26:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa nimeleta mavuno ya kwanza ya mazao ya ardhi ambayo Yehova amenipa.’+

      “Ni lazima ukiweke kikapu hicho mbele za Yehova Mungu wako na kuinama mbele za Yehova Mungu wako. 11 Kisha utashangilia kwa sababu ya vitu vyote vyema ambavyo Yehova Mungu wako amekupa wewe na nyumba yako, wewe na Mlawi na mkaaji mgeni aliye miongoni mwenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki