-
Isaya 60:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Na watu wako wote watakuwa waadilifu;
Wataimiliki nchi milele.
-
-
Ezekieli 34:27, 28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Miti ya shambani itazaa matunda yake, na udongo utatoa mazao yake,+ nao wataishi kwa usalama nchini. Nao watalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova nitakapozivunja nira zao+ na kuwaokoa kutoka mikononi mwa wale waliowafanya kuwa watumwa. 28 Hawatakuwa windo la mataifa tena, na wanyama wa mwituni wa dunia hawatawanyafua, nao wataishi kwa usalama, na hakuna mtu atakayewaogopesha.+
-