Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 58:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Je, kufunga ambako ninachagua kunapaswa kuwa hivi,

      Siku ya mtu kujitesa,*

      Kuinamisha chini kichwa chake kama utete,

      Na kufanya nguo za magunia na majivu yawe kitanda chake?

      Je, huko ndiko unakoita kufunga na siku inayompendeza Yehova?

  • Luka 18:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Yule Farisayo akasimama na kuanza kusali akisema moyoni, ‘Ee Mungu, ninakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine—wanyang’anyi, wasio waadilifu, wazinzi—au hata kama mkusanya kodi huyu. 12 Mimi hufunga mara mbili kwa juma; ninatoa sehemu ya kumi ya mapato yangu yote.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki