Yakobo 1:23, 24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Kwa maana ikiwa yeyote ni msikiaji wa neno, na si mtendaji,+ huyo ni kama mtu anayeutazama uso wake* katika kioo. 24 Kwa maana yeye hujitazama na kwenda zake na kusahau mara moja jinsi alivyo.
23 Kwa maana ikiwa yeyote ni msikiaji wa neno, na si mtendaji,+ huyo ni kama mtu anayeutazama uso wake* katika kioo. 24 Kwa maana yeye hujitazama na kwenda zake na kusahau mara moja jinsi alivyo.