-
1 Wakorintho 15:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini kwa fadhili zisizostahiliwa za Mungu mimi niko kama nilivyo. Na fadhili zake zisizostahiliwa kwangu hazikuwa za bure, bali nilifanya kazi zaidi yao wote; lakini si mimi bali ni fadhili zisizostahiliwa za Mungu zilizo pamoja nami.
-