-
Mwanzo 25:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Esau akasema: “Ninakaribia kufa! Haki ya kuzaliwa ina faida gani kwangu?”
-
-
Mwanzo 25:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ndipo Yakobo akampa Esau mkate na mchuzi wa dengu, akala na kunywa, kisha akainuka na kwenda zake. Hivyo, Esau akaidharau haki yake ya kuzaliwa.
-