Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 5
  • Agosti 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 5

Agosti 20-26

LUKA 21-22

  • Wimbo 27 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ukombozi Wenu Unakaribia”: (Dak. 10)

    • Lu 21:25—Matukio yenye kutisha yatatokea wakati wa dhiki kuu (kr 226 ¶9)

    • Lu 21:26—Maadui wa Yehova watajawa na woga

    • Lu 21:27, 28—Kuja kwa Yesu kutawaletea waaminifu ukombozi (w16.01 10-11 ¶17; w15 7/15 17-18 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 21:33—Tunaweza kuelewaje maneno ya Yesu katika mstari huu? (“Mbingu na dunia zitapitilia mbali,” “maneno yangu hayatapitilia mbali kamwe” habari za utafiti Lu 21:33, nwtsty)

    • Lu 22:28-30—Yesu alifanya agano gani, alilifanya pamoja na nani, na agano hilo linatimiza nini? (w14 10/15 16-17 ¶15-16)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 22:35-53

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Onyesha jinsi ya kushughulika na mwenye nyumba aliye na shughuli nyingi.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 136

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 34

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 41 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki