Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 6
  • Agosti 27–Septemba 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 27–Septemba 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 6

Agosti 27–September 2

LUKA 23-24

  • Wimbo 130 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uwe Tayari Kuwasamehe Wengine”: (Dak. 10)

    • Lu 23:34—Yesu aliwasamehe askari Waroma waliomtundika kwenye mti (cl 297 ¶16)

    • Lu 23:43—Yesu alimsamehe mhalifu (g 2/08 11 ¶5-6)

    • Lu 24:34—Yesu alimsamehe Petro (cl 297-298 ¶17-18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 23:31—Huenda Yesu anamaanisha nini katika mstari huu? (“wakati mti ni mbichi, . . . utakapokauka” habari za utafiti Lu 23:31, nwtsty)

    • Lu 23:33—Ni uthibitisho gani wa vitu vya kale vilivyochimbuliwa unaoonyesha kwamba huenda misumari ilitumiwa kuwatundika watu kwenye mti? (“Msumari Ndani ya Mfupa wa Kisigino” picha Lu 23:33, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 23:1-16

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia kinachopatana na mahitaji ya mwenye nyumba.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe na utoe chapisho la funzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) fg somo la 4 ¶3-4

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 20

  • “Yesu Alikufa kwa Ajili ya Ndugu Yako Pia”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Boresha Utu Wako wa Kikristo!

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 35 ¶1-11

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 82 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki