-
Mathayo 14:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Akamwambia: “Njoo!” Ndipo Petro akatoka kwenye mashua, akatembea juu ya maji kumwelekea Yesu.
-
-
Mathayo 14:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Yeye akasema: “Njoo!” Mara Petro, akishuka kutoka kwenye mashua, akatembea juu ya maji na kwenda kumwelekea Yesu.
-