-
Waamuzi 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nao mpini pia ukazidi kuingia ndani ukiufuata upanga huo na mafuta yakaufunika upanga huo, kwa maana hakuuchomoa upanga kutoka katika tumbo lake, na mavi yakaanza kutoka nje.
-