-
Waamuzi 6:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Na ikawa hivyo. Alipoamka mapema siku iliyofuata na kukamua manyoya hayo, akatoa katika manyoya hayo umande wa kutosha kujaza maji bakuli kubwa la karamu.
-